TTCL

Habari

, 2016MBEYA YETU INAWATAKIA WAISLAM WOTE EID MUBARAK NJEMA

on

Crew nzima ya MBEYA YETU inawatakiwa Waislam wote Eid Mubarak njema. Mbeya yetu tunapenda kuwahasa waislam wote waadhimishe sherehe hii tukufu kwa amani na upendo na vile vile iwe ni chachu ya kuwafanya wamrudie Mungu na kutenda matendo mema kwa jamii na hasa wale watuzungukao

UJUMBE KWA FACEBOOK