TTCL

Habari

Bashite kimenuka tena: Jambo la vyeti ngoma bado mbichi

By

on

Katika ripoti hiyo aliyoitoa waziri wa elimu amesema kuwa ngoma bado mbichi na wameanza kukagua vyeti vya kidato caha nne cha sita na waalimu na hvyo bado ukaguzi wa vyeti vya taaluma.

Vyeti vya Taaluma vitaanza pia wale waliosoma diploma mpaka degree ambayo idadi ya watu inakdiriwa kuongezeka mara 10 ya mwanzo.

UJUMBE KWA FACEBOOK