TTCL

Habari

AT asimulia chanzo cha ugomvi wa Diamond Platnumz na Alikiba

on

Msanii wa Bongo fleva AT ameweka wazi mzizi wa ugomvi kati ya msanii  Diamond Platnumz  na Ali Kiba. AT asema  haya  ambayo mashabiki wa pande zote mbili walikuwa hawajui chanzo cha ugomvi kati ya mastaa hao  ”

“watu wengi wanakurupuka kuhusu ugomvi wa Alikiba na Diamond kwa kuwa alikuwepo Oman mwaka 2010 ambapo Alikiba na Diamond walikuwa wanacheza Game chumbani kwake kwenye Hotel waliyofikia. “Tulikuwa Oman kwenye Hotel moja.

Tulikuwa na Show sasa walikuwa wanacheza Game Alikiba na Diamond huku Alikiba akiwa amechagua Real Madrid na Diamond amechagua Barcelona. Alikiba akilikuwa amefungwa mbili, Diamond tatu.

“Kwa hiyo Alikiba alikuwa nataka kupiga free-kick kwenye game Diamond akamsukuma Alikiba na Alikiba akastopisha game akamwambia kuwa mwanangu nilikuwa nakutafuta muda mrefu sana ikabidi mimi ninyanyuke sasa niwaamue.” – AT

UJUMBE KWA FACEBOOK