TTCL

Habari

Breaking News!! Ajali Mbaya Kabisa! Yatokea Yaua Familia Nzima Ni Huzuni Tazama Zaidi Hapo Ujionee

By

on

Ni ajali mbaya kabisa kutokea! ambayo imesababisha kupoteza maisha ya watu wote waliokuwa ndani ya hilo gari ambapo walikuwa ni familia wanatoka kwenye ibada siku ya Jumapili. Inasikitisha sana huwezi amini ni kumshukuru Mungu peke kwa kuwa tunatembea na kifo mkononi.

Angalizo tuwe makini na matumizi ya barabara ili tuweze kuepuka kuvunja sheria na kuhatarisha usalama wetu barabarani.

UJUMBE KWA FACEBOOK