TTCL

Michezo

Kampuni ya kitanzania itakayozalisha vifaa vya michezo kama Nike

By

on

Inawezekana Tanzania ikaingia kwenye headlines mpya kutokana na vijana wa kitanzania kuamua kuanzisha kampuni ya kutengeneza vifaa vya michezo kama ilivyo kwa kampuni za nje za Puma, Nike, Adidas, Umbro, Macron na nyinginezo ambazo zimekuwa zikitengeneza jezi na vifaa vya timu mbalimbali.

Kampuni ya Speshos Sport Bongo ambayo ipo chini ya umiliki ya Jeffrey Speshos, Ramadhani Munga, Jeff Lea, Muddy Sebene, Ally Kilingo na Charles Mungi ipo katika mazungumzo na vilabu vitano vya Ligi Kuu ili kuanza kuvipatia bidhaa za kampuni hiyo kuanzia msimu ujao

UJUMBE KWA FACEBOOK