TTCL

Habari

Kesi ya aliyemtukana Rais Magufuli facebook imeshindwa kuendelea leo

By

on

Kesi inayomkabili Isaac Abakuk ambaye anatuhumiwa kumtukana Rais John Magufuli kwenye ukurasa wake wa facebook June 08 2016�imeshindwa kuendelea kutokana na upande wa Jamhuri kutokamilisha ushahidi na kuiomba Mahakama kuahirisha shauri hilo hadi kesho June 08 2016.

Hakimu anayesikiliza kesi hiyo Augustine Rwezire wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha amekubali ombi hilo na kuahirisha kesi hiyo ambapo inatarajiwa kuanza kusikilizwa mfululizo, mshtakiwa anaendelea kuwa nje kwa dhamana kusubiri kesi yake itakapotajwa.

UJUMBE KWA FACEBOOK