TTCL

Habari

KYELA KUBUNI VYANZO VY MAPATO NA KUBORESHA VYANZO VILIVYOPO

on

MKUU WA MKOA AWATAKA MADIWANI KYELA KUBUNI VYANZO VY MAPATO NA KUBORESHA VYANZO VILIVYOPO
– Mkuu wa mkoa leo amefanya kikao na baraza la madiwani wa halmashauri YA Kyela na kuwataka kubuni vyanzo vipya vya mapato na kuboresha vilivyopo Baada YA ripoti YA CAG kuonyesha kwa mwaka wa fedha 2015/16 imejitegemea kwa asilimia 12 tu
– Amewataka madiwani kutenga maeneo YA uwekezaji kwa ajili YA viwanda vidogo, kati na vikubwa kufanya hivyo kutaongeza Mapato YA halmashauri na serikali kuu
– Amewaeleza madiwani kuhamasisha wakulima na wajasiriamali kuongeza uzalishali wa mchele na wajasiriamali kuongeza thamani mchele nakufunga mchele wa kyela ktk vifungaishio vizuri kufanya hivyo kutaongeza soko na mapato
– amewakumbusha pia kuona ujio wa meli 3 ziwa nyasa kama Fursa YA biashara na mapato

Amesema halmashauri ikiboreshs mapato itahudumia wananchi huduma za jamii na kiwango cha mikopo kwa vikundi vya vijana na wanawake itaongezeka

UJUMBE KWA FACEBOOK