TTCL

Habari Kwa Picha

MAAFISA HABARI KUSHIRIKIANA NA WANAHABARI

on

Mkuu wa timu ya mawasiliano ya Mradi wa uimarishaji wa mifumo ya sekta za umma nchini (PS3), Leah Mwainyekule akitoa maelekezo kwa washiriki wa mafunzo kwa Maafisa Habari na Tehama kutoka mikoa ya Mbeya, Songwe, Rukwa na Katavi yanayofanyika jijini Mbeya.

Mmoja wa Washiriki wa mafunzo ya uandishi wa habari kwa Maafisa Tehama na Habari akiwasilisha kazi aliyofanya baada ya mafunzo mbele ya wenzake Mshiriki wa mafunzo ya uandishi wa habari kwa maafisa Habari na Tehama akionesha Habari aliyoandika baada ya kupatiwa mafunzo Mshiriki wa Mafunzo ya uandishi wa Habari akisoma habari aliyoandika ili iweze kujadiliwa na washiriki wenzie baada ya kufundishwa Washiriki wa mafunzo wakifuatilia kwa makini masomo yanayoendelea ukumbini Afisa Habari Jiji la Mbeya, John Kilua akiwasilisha kazi mbele ya washiriki wenzie wa mafunzo ya uandishi wa habari kwa Maafisa Habari na Tehama. Mkuu wa timu ya mawasiliano wa PS3, Leah Mwainyekule akitoa maelekezo kwa Maafisa Habari juu ya namna ya kuandika habari zinazotakiwa kuwekwa kwenye tovuti zao.

UJUMBE KWA FACEBOOK