TTCL

Habari Kwa Picha

MAAFISA UGAVI WAPATIWA MAFUNZO YA MFUMO WA EPICOR 10.2

on

Maafisa ugavi kutoka Mikoa ya Mbeya, Rukwa, Katavi, Songwe na Njombe wakijadiliana jambo wakati wa mafunzo ya mfumo mpya wa fedha wa Epicor 10.2 yanayofanyika kwa siku ya pili Jijini Mbeya ambayo yanaendeshwa na Mradi wa Uimarishaji wa mifumo ya sekta za umma (PS3) kwa ufadhili wa Serikali ya Marekani (USAID).Maafisa ugavi kutoka Mikoa ya Mbeya, Rukwa, Katavi, Songwe na Njombe wakifanya mazoezi kwa vitendo  wakati wa mafunzo ya mfumo mpya wa fedha wa Epicor 10.2 yanayofanyika kwa siku ya pili Jijini Mbeya ambayo yanaendeshwa na Mradi wa Uimarishaji wa mifumo ya sekta za umma (PS3) kwa ufadhili wa Serikali ya Marekani (USAID). Maafisa ugavi kutoka Mikoa ya Mbeya, Rukwa, Katavi, Songwe na Njombe wakiwa kwenye mafunzo ya mfumo mpya wa fedha wa Epicor 10.2 yanayofanyika kwa siku ya pili Jijini Mbeya ambayo yanaendeshwa na Mradi wa Uimarishaji wa mifumo ya sekta za umma (PS3) kwa ufadhili wa Serikali ya Marekani (USAID). Maafisa ugavi kutoka Mikoa ya Mbeya, Rukwa, Katavi, Songwe na Njombe wakijadiliana jambo wakati wa mafunzo ya mfumo mpya wa fedha wa Epicor 10.2 yanayofanyika kwa siku ya pili Jijini Mbeya ambayo yanaendeshwa na Mradi wa Uimarishaji wa mifumo ya sekta za umma (PS3) kwa ufadhili wa Serikali ya Marekani (USAID). Washiriki wa mafunzo ya Epicor 10.2 kwa maafisa ununuzi wa Halmashauri za Mikoa ya Mbeya, Rukwa, Katavi, Songwe na Njombe wakifanya jaribio la somo wanalofundishwa, Mafunzo hayo yanaendeshwa na Mradi wa Uimarishaji wa mifumo ya sekta za umma (PS3) kwa ufadhili wa Serikali ya Marekani (USAID) pamoja na Ofisi ya Rais Tamisemi.

UJUMBE KWA FACEBOOK