TTCL

Habari

MAGUFULI – Waliokamatwa na Vyeti Feki Wafungwe Jela Miaka Saba..!!!

By

on

Rais John Magufuli amesema watumishi 9732 waliobainika na vyeti feki wakatwe mshahara wa mwezi huu na wafukuzwe kazi na kisha wachukuliwe hatua kwa kufungwa jela miaka saba.

Amesema kwa kuwa watumishi hao wanajijua, hata majina yao yachapishwe kwenye magazeti kwa kuwa wameiibia serikali.

“Hawa ni majambazi, majizi kama yalivyo majizi mengine,” amesema

UJUMBE KWA FACEBOOK