TTCL

Habari

Majeruhi wetu 3 wanaendelea vizuri na matibabu nchini Marekani. 

on

Latest UPDATE,

May 16:

9:20 EST.

KUTOKA Kwa Daktari Steve Meyer, ndani ya chumba cha UPASUAJI, Mercy Hospital. Marekani.  Hivi punde.

“Finished Wilson surgery went phenomenally well fixtures elbow is on both sides and fixed his V fracture he’s doing great now operating on Saadia”.

FASIRI: “Nimemaliza UPASUAJI kwa MTOTO Wilson, na umefanikiwa vizuri SANA, kiwiko cha mkono pande zote na ‘V fracture’, anaendelea vema, sasa  nafanya UPASUAJI kwa Sadia.”

 Kwa hisani ya  Lazaro Nyarandu

UJUMBE KWA FACEBOOK