TTCL

Habari

MAMLAKA YA MAJI MBEYA YATANGAZA HITILAFU YA UMEME ILIYOSABABISHA KUKATIKA MAJI

on

MAMLAKA YA MAJISAFI NA USAFI WA MAZINGIRA JIJINI MBEYA

TANGAZO

MKURUGENZI MTENDAJI WA MAMLAKA YA MAJISAFI NA USAFI WA MAZINGIRA MBEYA

ANAWATANGAZIA WATEJA WAKE WOTE KUWA KUMETOKEA HITILAFU YA UMEME KATIKA

PUMB ZA KUSUKUMA MAJI ZA IYELA NA KADEGHE,MAFUNDI WAPO ENEO LA TUKIO

KUSHUGHULIKIA TATIZO HILO ILI KUHAKIKISHA HUDUMA YA MAJI INAREJEA.

MAENEO YATAKAYOATHIRIKA NI MACHINJIONI,ULAMBYA,JUHUDI,AIRPORT,FOREST MPYA,

FOREST YA ZAMANI,MASEWE,ILINDI,IYELA,MWANJELWA,SOWETO,RRM,ISYESYE.VETA,KILIMO NA NANENANE.

MKURUGENZI MTENDAJI ANAWAOMBA WAKAZI WA MAENEO HAYO KUTUMIA MAJI WALIYONAYO

KWA UANGALIFU.

MAMLAKA INAOMBA RADHI KWA USUMBUFU UTAKAYOJITOKEZA.

IMETOLEWA NA OFISI YA UHUSIANO MAMLAKA YA MAJISAFI NA USAFI WA MAZINGIRA

MBEYA.

UJUMBE KWA FACEBOOK