TTCL

Michezo

MBEYA CITY NA PRISON HAPATOSHI LEO SOKOINE

on

katibuKatibu wa Chama cha Mpira wa Miguu Mkoa wa Mbeya(MREFA) Seleman Haroub akizungumza na vyombo vya habari kuhusu maandalizi ya mchezo wa leo baina ya Mbeya city na Prison mwalukaMeneja wa Uwanja wa Sokoine Modest Mwaluka akizungumzia usalama wa uwanja ambapo ameonya magari kutoingia uwanjani kutokana na kusababisha usumbufu na kuongeza kuwa magari yanayoruhusiwa ni magari ya usalama kama zimamoto, polisi na huduma ya kwanza waandishiWaandishi wa habari wakipata ufafanuzi kutoka kwa Meneja wa Uwanja wa Sokoine, Modest Mwaluka.

picha na Kenneth Ngelesi

UJUMBE KWA FACEBOOK