TTCL

Habari

MHE. SOPHIA MWAKAGENDA APIGA TAFU CHADEMA RUNGWE

on

🔹 Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mbeya Mhe. Sophia Hebron Mwakagenda leo jumamosi, tarehe 13 Mei 2017 amekutana na Kamati Tendaji ya CHADEMA Jimbo la Rungwe pamoja na Viongozi wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) jimboni humo na kujadili mambo mbalimbali ya ujenzi wa chama na pia alitumia fursa hiyo kugawa masufuria na sahani kwa ajili ya miradi ya biashara ya Chama ikiwa ni kutimiza maazimio ya Mkutano Mkuu wa Jimbo hilo la Rungwe mkoani Mbeya.

UJUMBE KWA FACEBOOK