TTCL

Habari

MKUU WA MKOA AAHIDI KUWASHTAKI KWA WANANCHI VIONGOZI WA KUCHAGULIWA WASIPOTENGA FEDHA ZA MIKOPO KWA VIJANA NA WANAWAKE

on

MKUU WA MKOA AAHIDI KUWASHTAKI KWA WANANCHI VIONGOZI WA KUCHAGULIWA WASIPOTENGA FEDHA ZA MIKOPO KWA VIJANA NA WANAWAKE
-Mkuu wa mkoa wa Mbeya leo amefanya vikao na Mabaraza YA halmashauri YA Mbeya na Jiji la Mbeya na kuhaidi endapo madiwani hao WASIPOTENGA fedha asilimia 10 YA mapato YA ndani atawashtaki kwa wananchi waliowachagua
-Kutenga fedha hizo Si hiari ni takwa la kisera hivyo ni muhimu madiwani wakasimamia utengaji wa Fedha hizo
– Ameelekeza halmashauri hizo kutoa fedha kwa vikundi hadharani badala YA kuzitoa kimyakimya

– Amewataka maafisa maendeleieo YA jamii kuhakiki vikundi vitakavyopewa sambamba na elimu ya ujasiriamali na urejeshaji wa Fedha hizo

UJUMBE KWA FACEBOOK