Habari

MKUU WA MKOA AMKABIDHI MAKAMU WA RAIS TAARIFA YA UTATUZI WA MIGOGORO YA ARDHI NA UREJESHAJI EKOLOJIA MTO RUAHA MKUU

on

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya leo amemkabidhi taarifa yenye maoendekezo YA namna YA kumaliza migogoro YA Vijiji 33 na HIFADHI YA Ruaha na namna YA kurejesha ekolojia YA Mto Ruaha Mkuu
– Makamu Wa Rais Amepongeza kazi nzuri iliyofanya na uongozi wa Mkoa na timu YA watalaam na amehaidi kuifanyia kazi ili kufikia malengo YA kumaliza migogoro YA ardhi na urejeshaji ekolojia YA Mto Ruaha

UJUMBE KWA FACEBOOK