TTCL

Habari

MKUU WA MKOA AWAAGIZA WAKUU WA WILAYA NA WAKURUGENZI KUFANYA KAZI KWA KARIBU NA VIONGOZI WA USHIRIKA

on

 -Ni katika kukabiliana na changamoto za Pembejeo, Masoko na Bei za bidhaa au mazao
– Asema lengo la serikali ni kuwa na ushirika wenye nguvu na unaochangia kujenga uchumi

– Amesema ushirika UNAKUFA pale upoendeshwa bila kufuata taratibu na sheria,ushirika usiokaguliwa hesabu zake , ushirika usiyo na mikutano na wanachama wake

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya ameyasema leo wakati akifunga mafunzo  YA kuwajengea uwezo viongozi wa vyama vya msingi wa zao la Tumbaku Wilaya YA Chunya

Na Amos Makalla

UJUMBE KWA FACEBOOK