TTCL

Habari

MKUU WA MKOA AWAFARIJI WAHANGA WA SOKO LA SIDO NA KUHAIDI KUTOA TAARIFA YA TUME YA UCHUNGUZI YA KUUNGUA SOKO LA SIDO KESHO KUTWA TREHE 23 /8/2017

on

MKUU WA MKOA AWAFARIJI WAHANGA WA SOKO LA SIDO NA KUHAIDI KUTOA TAARIFA YA TUME YA UCHUNGUZI YA KUUNGUA SOKO LA SIDO KESHO KUTWA TREHE 23 /8/2017
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Amos Makalla leo ameongea na WAHANGA wa soko la Sido na kuwahaidi kuwa kamati YA uchunguzi inakamilisha kazi na taarifa itawekwa wazi tarehe 23/8/2017
Pamoja na kuwapa pole amewashukuru wananchi na uongozi wa soko kwa ushirikiano wakioutoa kwa tume na kwamba chanzo cha Moto kitawekwa wazi na hatma YA wahanga itawekwa wazi siku hiyo
Amewaomba wananchi kuwa watulivu katika kipindi hiki kigumu ambacho idadi kubwa YA WAHANGA wamepoteza MALI nyingi kufuatia janga KA moto

UJUMBE KWA FACEBOOK