TTCL

Habari

MKUU WA MKOA AZUNGUMZA NA BENKI YA KFW NA KAMPUNI YA PANDAHIL WANAOTAKA KUWEKEZA BILIONI 500

on

– Ni mradi wa madini YA Neubium ambayo hutumika kutengeneza rocket na computer
– Amewakaribisha kuwekeza BAADA YA utafiti kukamilisha na amewaomba kukamilika utafiti athari za mazingira na taratibu mbalimbali za kisheria

– mradi utaajiri wafanyakazi zaidi YA 500 wa kitanzania

– Amesema Uwepo uwanja wa ndege wa kimataifa,barabara kuu zitarahisha mradi huo

Amos Makalla

UJUMBE KWA FACEBOOK