TTCL

Michezo

MROKI HABARI NJEMA KWAKE ULAYA YAMUITA

By

on

Kama unapenda soka la bongo muda wowote kutokea sasa tegemea kusikia good news kutoka kwa mtanzania Hamisi Mroki anayecheza soka la kulipwa katika klabu ya Kabin United ya daraja la pili Thailand.

Baada ya kuitumikia timu hiyo kwa misimu mitatu Hamisi amefanikiwa kumaliza mkataba wake na kupata timu mpya ya daraja la kwanza nchini Ukraine, good news ni kuwa Hamisi anaenda kujiunga na timu hiyo moja kwa moja na wala sio kufanya majaribio.

UJUMBE KWA FACEBOOK