TTCL

Habari

MTOTO AMEOKOTWA

on

Ni Mtoto wa kiume(pichani) anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka  mitatu.

Ameokotwa  eneo la Isanga jijini Mbeya tangu SAA nane mchana..
Wasamaria wema walimfikisha Mtoto huyo   kwa mjumbe wa mtaa wa Bibi Consolata ambaye alimfikisha kwenye Msikiti wa Baraa Bin AAZB Isanga Mbeya majira ya SAA 2:15 usiku  kwa ajili ya kumtangaza kwa waumini
Mjumbe hiyo wa mtaa wa Mita alienda kutoa taarifa za kuokotwa kwa Mtoto huyo kituo cha polisi cha Central jijini Mbeya.
Yeyote yeyote aliyepotelewa na Mtoto awasiliane na Imamu wa Msikiti wa Baraa Bin Aazb Sheikh Ibrahim Bombo kwa namba ya simu 0756 929 970. Au akatoe taarifa za kupotea kwa Mtoto huyo kituo cha Polisi.

UJUMBE KWA FACEBOOK