TTCL

Habari

MTOTO Doreen  aanza kupata hisia kwenye miguu

on

UPDATE:

Jumanne, Mei 23

Habari KUTOKA Mercy Hospital, Sioux City IA

MTOTO Doreen akiwa na MAMA yake mapema LEO katika WODI ya WATOTO Mercy Hospital. MADAKTARI wamesema tangu JUZI MTOTO Doreen alianza kupata HISIA kwenye MIGUU yake yote miwili, BAADA ya UPASUAJI kwenye UTI wa MGONGO ambapo imesemwa alikuwa emeumia VIBAYA. Sote tuendelee kumkumbuka katika SALA na DUA zetu ili MKONO wa MUNGU umguse katika SAA hii ya KUJARIBIWA kwake***

UJUMBE KWA FACEBOOK