TTCL

Habari

NAIBU SPIKA DKT TULIA MWANSASU ALIVYOSHIRIKI NAMTUMBO SELOUS MARATHON

on

Naibu Spika wa Bunge la Tanzania akikabidhi TV ya Inch 32 kwa mshindi wa mbio za Namtumbo Selous marathon km 21 Pascal Mombo-Manyara

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Namtumbo Christopher Kilungu akiahidi mbele ya Naibu Spika Dkt Tulia mchango binafsi wa sh.mil 5 kwa ajili ya ujenzi ya wodi ya wazazi hospitali ya wilaya ya Namtumbo

Naibu Spika Dkt Tulia Mwansasu akiwapongeza wakinbiaji wa Marathon km 21

Dkt Tulia Mwansasu akiwatuza waimbaji wa kwaya waliokuwa wakitumbuiza wakati wa uchangiaji wa ujenzi wa wodi ya wazazi hospitali ya wilaya ya Namtumbo.

Naibu Spika Dkt Tulia akikata utepe kuzindua ujenzi wa jengo la wodi ya wazazi hospitali ya wilaya ya Namtumbo mara baada ya kumalizika kwa mbio za marathon kuchangia ujenzi huo.

Baadhi ya raia wa kigeni kutoka nchini Urusi wakishiriki mbio za Marathon kuchangia ujenzi wa wodi ya wazazi wa hospitali ya wilaya ya Namtumbo

UJUMBE KWA FACEBOOK