TTCL

Habari

Picha: Mwanadada Joyce kiria wa kipindi cha wanawake live kapata ajali

on

IMG_20160625_081638IMG_20160625_081735IMG_20160625_081835

Mwanadada Joyce Kiria anaemiliki kipindi cha Wanawake live apata ajali pamoja na team yake katika kijiji cha Lukoka Sumbawanga. Team nzima wamefanikiwa kutoka wazima ila wamepata michubuko ya hapa na pale. Safari hiyo ilikuwa madhubuti kwa ajili ya kwenda kuonana na binti anaefahamika kwa jina la Wakonta kapunda mwenye matatizo ya mwili kukosa mawasiliano na kichwa

UJUMBE KWA FACEBOOK