TTCL

Habari

Picha:Mkuu wa mkoa mbeya Amos Makalla kutatua kero wazi wazi

on

13510951_1624235757891641_2413416445080124328_n13511056_1624235771224973_7994165810505178623_n13533334_1624235844558299_1932024197178008064_n13511056_1624235771224973_7994165810505178623_n

 

Mamia ya wananchi leo wamejitokeza kwa wingi kuwasilisha kero kwa Mkuu wa mkoa wa Mbeya ikiwa ni utekelezaji wa utaratibu aliyojiwekea wa kusikiliza kero za wananchi kila Alhamisi ya mwanzo wa mwezi na Alhamis ya mwisho wa mwezi kwa lengo la kusikiliza na kuzipatia ufumbuzi kero mbalimbali
Akifungua kikao cha kusikiliza kero a kuwataka viongozi na watendaji wa ngazi za chini kujipima kama kweli wanashughulikia kero za wananchi kwani uwingi wa wananchi hao kufurika ukumbini inaonyesha hawasikilizwi kero zao
Anmewataka viongozi na watendaji kuwa Karibu na wananchi na amehaidi kuwa mara atakapowaapisha wakuu wa wilaya tarehe 4 julai atawaapa jukumu la kuwasikiliza wananchi kila wiki siku ya alhamis ili wampunguzie mzigo wa wananchi wengi kukimbilia kwa Mkuu wa Mkoa wakati Kero zingine zinaweza kutatuliwa na viongozi na watendaji wa mtaa, kijiji, kata na wilaya
Wananchi wengi wamefurahishwa na utaratibu wa Mkuu wa mkoa kwani majibu ya kero zao yamepatiwa majibu haraka na mengine yapo katika ufuatiliaji.

Source Amos Makalla

 

UJUMBE KWA FACEBOOK