TTCL

Michezo

PRISONS 0   MBEYA CITY 0

on

Kikosi cha timu ya Mbeya City

Kikos cha timu ya Tanzania Prison

Timu zikiingia uwanjani tayari kuanza mtanange.

Mgeni rasmi akisalimiana na waamuzi wa mchezo wa leo pamoja na wachezaji wa timu zote mbili za Mbeya City pamoja na Tanzania Prison

Mpira umeisha katika uwanja wa kumbukumbu ya Sokoine jiji Mbeya na timu zote za Mbeya City na Tanzania Prison kutoshana nguvu ya bila kufungana.

Makocha wa timu zote mbili za Mbeya City pamoja na Tanzania Prison wakiongea na waandishi wa habari baada ya mpira kumalizika na timu zao kutoka sare ya bila kufungana.

UJUMBE KWA FACEBOOK