Habari

SERIKALI INAKARIBISHA WAWEKEZAJI NA WANUNUZI WA MAZAO KWA NJIA YA USHINDANI- Rc Makalla

on

SERIKALI INAKARIBISHA WAWEKEZAJI NA WANUNUZI WA MAZAO KWA NJIA YA USHINDANI- Rc Makalla
– Atangaza neema kwa wakulima wa chai , ndizi, viazi, maparachichi na wafugaji wa ngombe wa maziwa
-Mkuu wa Mkoa wa mbeya leo amefanya ziara wilaya YA Rungwe kwa kutembelea shamba na kiwanda cha kuchakata maparachichi(ILOLO), ufugaji ngombe wa maziwa(KYIMO),Kukagua eneo la kujenga kiwanda cha maziwa(ILENGE) na eneo la kujenga siko la kimataifa la ndizi(ILENGE)
– Asema maziwa wilayani Rungwe ni mengi kuliko mahitaji inahitajika viwanda zaidi YA vitatu ni asilimia 30 tu ndiyo yanayonunuliwa sokoni
-serikali inakaribisha wawekezaji kuwekeza ktk kujenga kiwanda cha maziwa
– kuhusu tatizo la bei ndogo YA Bei YA chai na kukosa ushindani serikali kupitia waziri mkuu Amerika tume mkoani Mbeya kushughulikia changamoto za wakulima wa chai wilaya y Rungwe hivyo muda si mrefu tatizo hilo litapatiwa ufumbuzi
Aidha amealika wanunuzi wa mazao YA maparachichi, ndizi, viazi na maziwa wenye kuleta ushindani ili wakulima wafaidike kwa kuchagua bei nzuri

UJUMBE KWA FACEBOOK