TTCL

Michezo

SIRI YA JEZI MPYA ZA YANGA YA FICHUKA

By

on

Imekuwa kawaida kwa vilabu mbalimbali barani Ulaya kuwa na utamaduni wa kutengeneza jezi mpya zenye ubunifu tofauti tofauti kwa ajili ya msimu mpya wa Ligi za kwao na mashindano mbalimbali yatakayokuwa katika msimu husika.

  • Naambiwa hizi zitakuwa jezi za nyumbani

Kwa taarifa zilizosambaa katika mitandao ya kijamii imeonesha jezi zinazotajwa kuwa ndio jezi mpya zitakazotumiwa na Yanga msimu wa 2017/2018, jezi hizo bado hazijathibitishwa wala kutambulishwa rasmi na uongozi wa Yanga lakini kuna tetesi kuwa ndio zitatumiwa msimu wa 2017/2018.

Hizi zitakuwa jezi za tatu 

hizi zitakuwa jezi za ugenini

UJUMBE KWA FACEBOOK