TTCL

Makala

SOMA HII: Tajirika na Kilimo cha Nyoka, Kina Pesa Zaidi ya Dhahabu

By

on

Kilimo cha nyoka ni moja ya kilimo yenye faida sana ,mmoja anaweza akaanzisha kilimo hichi ukizingatia thamani ya “snake venom” ipo juu sana.Sumu ya nyoka inatumika kwa wingi kwenye viwanda vya famasia na viwanda vya vipodozi hivyo thamani ya “snake venom ” ipo juu sana kutokana na uhitaji wake. Gram moja ya “snake venom ” kwa soko la kimataifa inauzwa $1880 ,na kwenye soko la Afrika kusini inauzwa kwa makadirio ya Rand 25,000

UJUMBE KWA FACEBOOK