TTCL

Habari

UPDATE ya Watoto waliopelekwa Marekani kwa matibabu

on

UPDATE:

Jumamosi, Mei 20

MADAKTARI wanaowatibu WATOTO Doreen, Sadia na Wilson wamesema HAPATAKUWA na idhini kwa ndugu, jamaa, na marafiki kwa sasa KUWAONA WATATOTO wakiwa hospitali kutokana na KILE walichokieleza KUWA bado wana MAUMIVU makali na wameanzishiwa “Rehab”, (Mazoezi ya Viungo, na ya Kisaikolojia). IDHINI hiyo itatolewa na KUTANGAZWA mara MADAKTARI watakapojiridhisha na MWENENDO na hali ya WAGONJWA. 

(Pichani, Mwakilishi wa Serikali yetu USA, Balozi Masilingi na Mama wakimjulia HALI MTOTO Sadia kwa NIABA ya SERIKALI na Watanzania WOTE) Picha kwa idhini ya DMS Sioux City IA.

UJUMBE KWA FACEBOOK