TTCL

Habari Kwa Picha

UWT TAIFA WAKABIDHIANA OFISI

on

Katibu mkuu wa Umoja wa wanawake wa CCM (UWT) Taifa aliyemaliza muda wake Amina Makilagi pamoja na Katibu mkuu mpya wa umoja huo, Mwalimu Queen Mlozi wakisaini hati ya makabidhiano ya ofisi katika hafla iliyofanyika jana katika makao makuu ya umoja huo jijini Dar es salaam. Mmoja wa viongozi wa UWT akitoa neno la kumkaribisha Katibu mkuu mpya wa Umoja huo katika majukumu yake ya kazi Baadhi ya viongozi wa UWT wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kumpokea Katibu Mkuu mpya Katibu Mkuu wa UWT aliyemaliza muda wake akiwaaga watumishi wa umoja huo katika makao makuu ya UWTKatibu mkuu mpya wa UWT pamoja na aliyemaliza muda wake wakiwa katika picha ya pamoja na watumishi wa ofisi ya Katibu mkuu mara baada ya hafla ya makabidhiano ya ofisi

UJUMBE KWA FACEBOOK