TTCL

Habari

VIDEO: Waziri Mwakyembe hajapendezwa na kauli za wapinzani na kaamua kuyatoa ya moyoni

By

on

1-1-1

Headlines za kutokea bungeni dodoma bado zinazidi kukufikia kwa wepesi zaidi kila kukicha, najua shauku ya wengi ni kuisubiria bajeti kuu ya mwaka 2016/2017 kusomwa hapo kesho June 8 2016. Lakini bado kuna mengi ya kuyajua yanayoendelea hivi sasa ikiwa ni pamoja na hii ya Waziri Harrison Mwakyembe.

UJUMBE KWA FACEBOOK