TTCL

Michezo

Wanahabari Mbeya Wapigishwa Shoti ya Umeme na wafanyakazi wa TANESCO.  Wanahabari 3- TANESCO 5.

on

Wanahabari Mbeya

Tanesco Mbeya

Timu dhaifu ya TANESCO Mbeya imeigagadua bila huruma timu ya waandishi wa Habari Mbeya MPBC kwa magoli 5-3.Hata hivyo timu MPBC ingeweza kushinda mchezo huo lakini mshambuliaji wao Gwamaka Mwankota hakuwa makini alipofika golini.Kwa mwaka huu timu ya MPBC haijashinda mchezo wowote hali iliyompa hofu Mwenyekiti wa MPBC Modestus Mkulu.

UJUMBE KWA FACEBOOK