TTCL

Habari

WATU 11 WAMEKUFA MWANZA ASUBUHI HII KWA AJALI

on

Ajali Kati ya bus la super Shem na hice hungumalwa mwanza habari kamili tutawaletea hapo baadae

Ajali ingine asubuhi hii mkoani mwanza wilaya ya kwimba basi kutoka mbeya basi limegonga na hiace na watu 11 wamekufa papo hapo.

UJUMBE KWA FACEBOOK