TTCL

Habari

We care kids nursery school TANGAZO usajili wa watoto wa chekechea kwa mwaka 2018

on

We care kids nursery school tumefungua usajili wa watoto wa chekechea kwa mwaka 2018.Shule iko iwambi karibu na malawi cargo mbeya.Tunapokea watoto wa chekechea kuanzia umri wa miaka 2 hadi miaka 5, Kama una mtoto wa kuanza chekechea mwakani na unahitaji shule ya kumpeleka mwanao kuanza shule ya awali karibu wecarekids nursery school kwani ni shule bora yenye mazingira bora,walimu wenye sifa,michezo ya kisasa inayovutia watoto kupenda shule.Pia tuna huduma ya usafiri kwa wanafunzi popote pale mbeya,

Tupigie kwa no 0768257970/0789180377

Tupigie kwa no 0768257970/0789180377

UJUMBE KWA FACEBOOK