TTCL

Habari

Rais John Magufuli ameahirisha ziara yake nchini Zambia

on

Rais wa Jamhuri ya Muungano Mheshimiwa DKT.John Pombe Magufuli aameahirisha ziara yake nchini Zambia ili ashughulikie taatizo la tetemeko la ardhi lililosababisha vifo vya watu 16,mamia kujeruhiwa na nyumba kadhaa kubomolewa mkoani Kagera

UJUMBE KWA FACEBOOK