TTCL

Michezo

Zlatan Ibrahimovic kurejea uwanjani Msimu ujao

on

Mshambuliaji wa Manchester United Mswideni Zlatan Ibrahimovic ambaye mpaka sasa ndie kinara wa magoli kwenye klabu hiyo kwenye michuano kwa  yote atakuwa nje mpaka  msimu utakapomaliza

Ibrahimovic atakuwa nje ya uwanja kutokana na majeruhi aliyoyapata jana kwenye mchezo wa Europa dhidi ya Anderlecht ambao mchezo huo uliisha kwa Man U kushinda 2-1  na kufanikiwa kutinga hatua ya nusu fainali ya michuano hiyo.

Zlatan aliumia kipindi cha pili cha mchezo baada ya kwenda juu kuwania mpira na beki wa Anderletcht juu alipofika chini alifikia vibaya na kuweza kupata majeraha yaliyomfanya kutoka nje na nafasi yake kuchukuliwa na Martial

UJUMBE KWA FACEBOOK